Alhamisi, 10 Aprili 2014

Msukule waanguka Porini..!!



Msukule waanguka Porini..!!

DUNIA ina mengi, hili nalo moja wapo! Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na miaka 35 amekutwa porini akiwa uchi wa mnyama na hawezi kuongea hali iliyozua hofu kwa wananchi na kudai ni msukule.
Mwanamke huyo baada ya kupatiwa maji na chakula.
Tukio hilo lilijiri hivi karibuni maeneo ya Pugu Mnadani, wilayani Ilala jirani kabisa na Pori la Hifadhi ya Kisarawe mkoani Pwani. Baadhi ya wakazi walimhusisha mwanamke huyo na imani ya msukule wakidai huenda alitoroka kutoka kwenye makazi yake kabla ya kukatwa ulimi.
Akizungumza na gazeti hili, shuhuda mmoja wa tukio hilo, Said alisema baada ya kumkuta katika hali hiyo walianza kwa kumsitiri kwa nguo kisha mwanamke mmoja mganga alimlisha dawa ya kienyeji ndipo akaanza kuzungumza lakini kwa shida.
Wasamalia wema wakijaribu kumhoji mama huyo.
“Tulimuuliza jina lake akasema anaitwa Tumsifu Yesu. Alidai ameishi kwenye pori hilo kwa kipindi kirefu bila kujua alifikaje kwa vile kwao ni Iringa. “Cha kustaajabisha zaidi pale alipopewa chakula alifanikiwa kula maandazi arobaini na maji lita tano ndani ya dakika kumi tu,” alisema shuhuda huyo.
Akaendelea: “Baada ya kumaliza kula alionesha ishara ya msalaba kwa kumshukuru Mungu. Ndipo akapelekwa serikali ya mtaa na baadaye Kituo cha Polisi cha Pugu kwa msaada zaidi,” kilisema chanzo hicho.

Alhamisi, 27 Machi 2014

PICHA YA DIAMOND PLATII YAZUA UTATA

PICHA YA DIAMOND PLATII YAZUA UTATA

Baada ya Rommy Jones Kuweka picha hii Instagram ..Soma kilichofuata hapo chini kutoka kwa Mashabiki wa Diamond:

samsteven62 Mh broo hapa nakupinga na hicho kidole km vp

delete hii post

hassanmapunda Kumbe ni fala plutnamz

shaurimjaka Umezingua hicho kidole una mfuck nani sasa

evelinusb Unazingua

saidimtanga hii sio poa kabisa y mnatuonyesha kidole cha kati

@diamondplatnumz_

reubeneliasi Fack you

1whitebeauty Karibuni sana.. @romyjons @diamondplatnumz

brightlibius Mmeharibu bwn nn sasa hiyo tatizo la cerebrates

wetu ni shule sidhani kama mtu

alieenda shule anaweza kufanya ujinga huu

frankspair Shule nayo inasaidia jaman let’s go back to school

rchuggalady4real Usenge uwo sasa,inakuwaje unatutukana

tena.unazingua platinum

dorothea06 Sasa nn hvyo ulimbuken sas!

mamshomy Xjapend wala nn umearibu jiji la amani hlo

unazingua si kisenge yan platnm

oscaraden444 Dah aya bhana ipo siku na ww utatukanwa ivo

salumkaka ilo dole la kati linamuhusu nani

wemasepetu hihihihihi… mie napita… ila mmependeza vipenzi

vya roho yangu….

halimaabduly Pendaza vipenz vya $

romyjons Ok. @wemasepetu

edwardma2ngus Kuna vi2 vya kuiga but kwa hik unaonye jinc

ulvyo mpuuz!!!!!!!! At cjapenda kabixaaaa

jamalysongo Kwaio we diamnd umeona ishu sana kupiga ilo

dole fala wewe akili una wew kubwa zima akili amna